Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametunuku nishani ya mapinduzi kwa watu maalumu na utumishi uliotukuka 18 katika kuadhimisha miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar, mipngoni mwao akiwemo Fatma Karume mke wa muasisi wa mapinduzi, Abeid Amani Karume.