Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Joseph Daudi Mwakalinga maarufu kama @jiggerman, mkazi wa Zimbili, Kinyerezi, Wilaya ya Ilala, kwa tuhuma za kumjeruhi mtoto wake (jina limehifadhiwa) kwa kutumia fimbo na moto. Tukio hilo linadaiwa kutokea Januari 08, 2026, katika eneo la Kinyerezi, ambapo mtuhumiwa anadaiwa kutenda kitendo hicho kinyume na […] The post Jeshi la Polisi Lamshikilia Mwanaume kwa Tuhuma za Ukatili dhidi ya Mtoto – Video appeared first on Global Publishers .