DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amekabidhi vitabu vya elimu ya dini ya kiislamu kwa ngazi ya elimu ya sekondari kwa Taasisi ya Kusimamia Ufundishaji wa Elimu ya Dini ya Kiislamu (TISTA). Makabidhiano hayo yalifanyika Januari 11, 2026, katika Ofisi za Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) jijini Dar … The post Waziri Mkenda aikabidhi TISTA vitabu elimu ya dini first appeared on HabariLeo .