PSRS Yatangaza Nafasi 208 za Ajira Serikalini Taasisi 10 Mbalimbali

Ofisi ya Rais – Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) imetangaza jumla ya nafasi 208 za ajira katika taasisi na mashirika mbalimbali ya Serikali kwa niaba ya waajiri, ikiwemo TAWA, TASAC, NBS, TIRA, TAFORI, CAMARTEC, CBE, TCAA, NIC na CAWM. Tangazo hilo limetolewa rasmi tarehe 10 Januari, 2026, likiwaalika Watanzania wenye sifa, uadilifu […] The post PSRS Yatangaza Nafasi 208 za Ajira Serikalini Taasisi 10 Mbalimbali appeared first on Global Publishers .