Kasi ya maendeleo Zanzibar uhalisia Mapinduzi ya 1964

ZANZIBAR; LEO ni maadhimisho ya miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar tangu yalipofanyika Januari 12, 1964 baa da ya kuondolewa utawala wa kisultani ukiongo zwa na Jamshid bin Abdullah na Abeid Amani Karume kushika usukani. Miongoni mwa maeneo yanayoeleza kwa uwazi maana halisi ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ni kasi ya maendeleo iliyofikiwa tangu Mapinduzi … The post Kasi ya maendeleo Zanzibar uhalisia Mapinduzi ya 1964 first appeared on HabariLeo .