ZANZIBAR; LEO ni kumbukizi ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika siku kama ya leo miaka 62 iliyopita am bapo Wazanzibari waliondoa utawala wa kisultani uliokuwa ukiongozwa na Sultan Jamshid bin Abdullah na kuingia wazalendo walioongozwa na Shehe Abeid Amani Karume. Mapinduzi hayo yalileta utu na heshima kwa watu wa Zan zibar baada ya Uingereza kutoa uhuru … The post Dk Mwinyi aachia huru wafungwa 17 Mapinduzi first appeared on HabariLeo .