Chuo Kikuu cha Elimu cha Dar es Salaam (DUCE), ambacho ni Chuo Kishiriki cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kimetangaza nafasi 21 za ajira kwa Watanzania wenye sifa stahiki katika kada za Wahadhiri Wasaidizi (Assistant Lecturers), Wasaidizi wa Mafunzo (Tutorial Assistants) pamoja na Wasaidizi wa Maktaba (Assistant Librarians). Kwa mujibu wa tangazo hilo la […] The post Chuo cha DUCE Chatangaza Nafasi Mbalimbali za Ajira Januari 2026 appeared first on Global Publishers .