ZANZIBAR; WAKATI Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar leo ikiadhimisha miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar, Rais Dk Hussen Mwinyi amesema serikali yake inajivunia mafanikio makubwa yaliyofikiwa katika kipindi cha miaka mitano iliyopita. Akitoa Hotuba ya Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi jana, Dk Mwinyi alisema miongoni mwa mafanikio yaliyofikiwa katika kipindi cha miaka 62 ya … The post Dk Mwinyi aanika mafanikio lukuki afya, amani, Muungano first appeared on HabariLeo .