MVUTANO umeibuka kati ya viongozi wa Kaunti ya Kwale na Serikali ya Kitaifa kuhusu mipango ya kuanzisha shughuli za uchimbaji wa madini katika eneo la Mrima Hills. Viongozi wa kaunti hiyo wakiongozwa na Gavana Fatuma Achani, pamoja na wakazi na mashirika ya jamii, wametaka kuhusishwa kikamilifu katika mchakato mzima. Hali ya wasiwasi imetokana na namna […]