SINGIDA; SERIKALI ipo mbioni kuandaa Sera ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria itakayoweka misingi ya kuboresha na kuimarisha upatikanaji wa huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi kote nchini. Kauli hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Juma Homera wakati wa uzinduzi wa kliniki ya huduma za msaada wa kisheria … The post Sera Msaada wa Kisheria mbioni kutungwa first appeared on HabariLeo .