Eliud Owalo ajitosa kwenye kinyang'anyiro cha kiti cha urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.
Eliudi alijiuzulu jana kama naibu afisa mkuu wa wafanyikazi wa Ikulu.
Je, utampigia kura?
#GidiNaGhostAsubuhi #KituoChaWakenya