Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa Iran imewasiliana na Marekani ikiomba kufanya mazungumzo, kufuatia mvutano unaoendelea kati ya mataifa hayo mawili. Akizungumza na waandishi wa habari akiwa ndani ya ndege ya rais, Air Force One, Trump alisema: “Ndiyo, walipiga simu jana,” bila kufafanua zaidi kuhusu mawasiliano hayo. Trump alidai kuwa viongozi wa Iran wameonyesha […] The post Iran Yataka Mazungumzo, Trump Aishutumu kwa Mauaji ya Waandamanaji appeared first on Global Publishers .