Majina makubwa katika ulimwengu wa filamu na televisheni wamejitokeza kwa mbwembwe na mvuto mkubwa kwenye zulia jekundu la tuzo za Golden Globes za mwaka huu, hafla mojawapo ya heshima kubwa zaidi Hollywood inayofanyika jijini Los Angeles. Zulia jekundu limekuwa kivutio kikuu, likijaa mavazi ya kifahari, mitindo ya kipekee na tabasamu kutoka kwa mastaa waliovutia macho […] The post Orodha ya Washindi Golden Globes 2026, Wasanii Nyota Watinga Kwa Mbwembwe appeared first on Global Publishers .