NBC kufadhili miradi ya kimkakati Z’bar, ukiwamo wa kivuko cha kisasa

Mradi huo unakadiriwa kugharimu takribani dola za Marekani milioni 400 (zaidi ya Sh990 bilioni) na unatarajiwa kutekelezwa kwa awamu mbili ndani ya kipindi cha miaka mitatu, huku NBC ikiwa miongoni mwa wafadhili wakuu.