Majeruhi sita ajali ya Mkumbara wahamishiwa Hospitali ya Rufaa Bombo

Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Mombo, John Mapolu, amesema majeruhi wengine 13 waliopata majeraha katika ajali hiyo wameendelea vizuri na kuruhusiwa kurejea nyumbani baada ya afya zao kuimarika.