Trump atafakari hatua dhidi ya Iran, maandamano yakishika kasi

Kwa mujibu wa ripoti ya Al Jazeera, maandamano hayo yanatajwa kuwa miongoni mwa changamoto kubwa zaidi kwa utawala wa kidini tangu Mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 1979.