Miaka 62 ya mapinduzi yaleta mageuzi ya kiuchumi, kijamii Zanzibar
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema katika miaka 62 ya mapinduzi, wanajivunia jitihada zilizofanyika na kupata mafanikio ya kukuza uchumi na sekta zingine kama ilivyokuwa malengo ya mapinduzi hayo.