Tanroads Kigoma yatangaza donge kwa watakaofanikisha kukamatwa kwa wezi
Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa Januari 10, 2026 na ofisi ya Meneja wa Tanroads Mkoa wa Kigoma Mhandiai Narcis Choma yeyote atakayefanikisha au kutoa ushahidi huo atapewa zawadi mpaka Sh150,000 kulingana na ushahidi.