MABULA: BRAHIM DIAZ ALIKUBALI UWEZO WANGU AKANIOMBA JEZI Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania Alphonce Mabula mara baada ya kurejea nchini kutoka kwenye Michuano ya AFCON nchini Morocco amefunguka kwa undani tukio la mchezaji wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Morocco Brahim Diaz kukubali uwezo wake mpaka kumuomba jezi. Je, ulivutiwa kiasi …