Mabula: Tumuheshimu Samatta, kutoka Mbagala mpaka Ulaya sio mchezo

TUMUHESHIMU SAMATTA KUTOKA MBAGALA MPAKA ULAYA SIO MCHEZO @official_alphonce.mabula66 mchezaji wa Taifa stars amewaomba wadau wa mpira wa miguu na mashabiki wamuheshimu sana Samatta maana safari yake mpaka alipofika sio mchezo, pia amefunguka kuwa Samatta ni zaidi ya Kaka kwake akiwa msaada mkubwa pindi alipofika Ulaya kwa mara ya kwanza. Tembelea Youtube ya Bongofive kuangalia …