Benki ya Dunia yaitambua Tanzania kwa ukomavu matumizi ya teknolojia

Utafiti mpya uliotolewa na Benki ya Dunia (WB) imeitaja Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zilizo na ukomavu wa matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) katika sekta ya umma.