Majeshi SMT, SMZ yalivyoadhimisha kilele miaka 62 ya Mapinduzi
Majeshi hayo ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) na Vikosi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), wameahidi kuendelea kushirikiana kuhakikisha amani na utulivu vinadumishwa kama yalivyokuwa malengo ya Mapinduzi.