Wanachuo kukutanishwa pamoja na Ofisi ya RC Dsm

Serikali ya mkoa wa Dar es Salaam kupitia kwa Mkurugenzi wa Halmashauri wa Jiji hilo Ndugu Elihuruma Mabelya amesema, wameandaa tamasha la IST ambalo limelenga kukutanisha vijana wa vyuo mbalimbali kwa lengo la upimaji wa afya bure na kutengeneza fursa tofauti. Akizungumza Jijini Dar es Salaam kuelekea tamasha hilo ambalo litafanyika Febuari 7 mwaka huu, …