KHALIFA: VIJANA TUNA DENI KWA RAIS SAMIA, “ANATUJALI NA KUTUPENDA”

Watanzania wamempongeza na kumshuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya ulinzi na usalama Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ujasiri na uimaraka wake katika kulinda na kuitunza amani ya Tanzania kwa kusimama kidete katika kutatua kero za wananchi na kuwaletea maendeleo watanzania. Pongezi hizo zimetolewa na Wakazi […] The post KHALIFA: VIJANA TUNA DENI KWA RAIS SAMIA, “ANATUJALI NA KUTUPENDA” appeared first on Jambo TV Online .