WATOTO 400 WASHIKWA MKONO BUNDA, KUANZA SHULE KESHO

Watoto Zaidi ya 400 waliokuwa hatarini kushindwa kuanza masomo kidato cha Kwanza na Darasa la Kwanza kutokana na maisha duni katika Halmashauri ya Mji wa Bunda wamekabidhiwa Vifaa vya shule ili kuhakikisha wanaanza masomo. Wakizungumza baadhi ya Wazazi na walezi wamepongeza hatua hiyo kwani inaonesha Upendo na kusaidiana wakati wa shida. “Binafsi Mimi nilikuwa sina […] The post WATOTO 400 WASHIKWA MKONO BUNDA, KUANZA SHULE KESHO appeared first on Jambo TV Online .