KAFULAMA: TUSIKAIMISHE JUKUMU LA MALEZI, WAZAZI TUWAJIBIKE

Tunapoendelea na mwaka mpya wa 2026, rai imetolewa kwa wazazi na walezi kutokaimisha jukumu la malezi ya watoto wao kwa watu wengine na badala yake watenge muda wa kulea na kukuza watoto wao katika misingi na tamaduni zinazokubalika ili kuondokana na kadhia kadhaa za uduni wa malezi ikiwemo tabia ovu na tamaduni za kigeni ambazo […] The post KAFULAMA: TUSIKAIMISHE JUKUMU LA MALEZI, WAZAZI TUWAJIBIKE appeared first on Jambo TV Online .