Xabi anaondoka Santiago Bernabéu miezi saba tu baada ya kuchukua usukani kuinoa Real akitokea Bayer Leverkusen ambapo alishida mataji kadhaa likiwemo taji la Bundesliga. Mhispania Álvaro Arbeloa ameichukua nafasi ya Xabi mara moja . #GidiNaGhostAsubuhi #KituoChaWakenya