RAIS mstaafu Jakaya Kikwete amesema Zanzibar ya zamani ni tofauti na ya sasa kutokana na mabadiliko makubwa ya kimaendeleo yaliyofanyika, ikiwemo ujenzi wa kiwanja cha ndege na mabadiliko hayo yametokana na mapinduzi ambayo jana yamefikisha miaka 62. Kikwete aliyasema hayo wakati akifanya mahojiano na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC). Alisema maendeleo yanayopatikana sasa yanatokana na … The post Kikwete: Mapinduzi yameibadili Zanzibar first appeared on HabariLeo .