Ndoa iliyokuwa ikitazamwa kama mfano wa upendo wa kudumu, imani na mshikamano wa kifamilia sasa imevunjika hadharani. Kristy na Desmond Scott, wanandoa maarufu wa mitandao ya kijamii nchini Marekani, wameingia rasmi katika mchakato wa talaka, huku madai ya usaliti yakitajwa kuwa chanzo kikuu cha kuvunjika kwa ndoa yao. Kwa zaidi ya miaka kumi, wanandoa hao […] The post Ndoa Iliyopendwa TikTok Yavunjika, Kristy Scott Afungua Talaka appeared first on Global Publishers .