Vikosi vya ulinzi vyajizatiti kulinda amani nchini

VIKOSI vya ulinzi na usalama vimeahidi kuilinda amani iliyopo nchini ambayo ni chachu ya kielelezo cha umoja na mshikamano wa wananchi ambao kwa kiasi kikubwa umeifanya Tanzania kuwa kisiwa cha amani kwa muda wote. Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Zanzibar, Brigedia Jenerali Said Khamis Said ambaye ni mkuu wa Brigedia Nyuki ya Zanzibar … The post Vikosi vya ulinzi vyajizatiti kulinda amani nchini first appeared on HabariLeo .