Wananchi Mirerani wakosa maji siku saba, bei yapaa

WAKAZI wa mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wako katika hali mbaya kwa zaidi ya siku saba baada ya huduma ya maji safi na salama ya kunywa kukosekana kwa muda huo. Hiyo ni baada ya malori yanayouza maji hayo kutoka Mji mdogo wa Bomang’ombe wilayani Hai mkoani Kilimanjaro kudaiwa kuzuiwa. Kwa zaidi ya … The post Wananchi Mirerani wakosa maji siku saba, bei yapaa first appeared on HabariLeo .