ZANZIBAR: WAANDAAJI wa Tamasha la Sauti za Busara toleo la 23 wamesema tamasha hilo litafanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Unguja, badala ya Ngome Kongwe kuanzia Februari 5 hadi 8 mwaka huu. Uamuzi huo umetokana na ongezeko kubwa la idadi ya watazamaji kutoka ndani na nje ya nchi pamoja na kazi za ukarabati zinazoendelea katika … The post Tamasha Sauti za Busara kufanyika Mnazi Mmoja first appeared on HabariLeo .