Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Watanzania wametakiwa kuacha tofauti zao ili kuchochea amani na mshikamano wa kitaifa kwa maendeleo ya nchi.