RICARDO MOMO AFUNGUKA SAKATA LA MKUBWA FELLA & DIAMOND Kaka wa Diamond Platnumz amefunguka kwa mara ya kwanza juu ya sakata linaloendelea juu ya Diamond Platnumz na Familia ya Mkubwa Fella, anadai kuwa kwa sasa ni kama kumdhalilisha Mkubwa Fella kwenye hili lionaloendelea. Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa Youtube Bongofive Imeandaliwa …