Wakati tatizo la bakteria ukeni likiwasumbua wanawake wengi, utafiti umebaini kuwapo uwezekano mkubwa kwa mwanamume kubeba bakteria hao na kusababisha madhara kwa mwanamke atakayejamiiana naye.