Serikali imetoa zaidi ya Sh 796 milioni kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Mbugani, Kata ya Mbugani, Wilaya ya Chunya ili kuwapunguzia adha wananchi kutembea umbali mrefu kufuata huduma.