Watumishi, wanasiasa waaswa kupima afya kuepuka vifo vya mapema

Watumishi na wanasiasa wametakiwa kuwa na utaratibu wa kupima afya zao mara kwa mara ili kuepuka vifo vya mapema vinavyoweza kuzuilika, iwapo magonjwa yatagundulika katika hatua za awali.