Mbunge Mbeya Vijijini kuvalia njuga utunzaji mazingira kulinda vyanzo vya maji
Mbunge wa Mbeya Vijijini, Patali Shida amesema atavalia njuga suala la utunzaji wa mazingira kwa kutoa elimu athari ya mabadiliko ya tabia nchi na kuhamasisha jamii kulinda vyanzo vya maji kwa masilahi ya vizazi vijavyo.