Wakili Ajiondoa Kesi ya Utakatishaji Fedha Inayomkabili Matage na wenzake watano

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha usomwaji wa hoja za awali katika kesi ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na utakatishaji fedha kiasi cha dola milioni 4.6 inayomkabili Joseph Matage na wenzake watano, kufuatia wakili anayemtetea mshitakiwa Jamaal Saad kujitoa. Washitakiwa wengine katika kesi hiyo ni Grace Matage, Jamaal Saad, Mubinkhan Dalwai, Stanley Tibihenda […] The post Wakili Ajiondoa Kesi ya Utakatishaji Fedha Inayomkabili Matage na wenzake watano appeared first on Global Publishers .