Klabu ya Yanga imetwaa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi (Mapinduzi Cup) baada ya kuibuka mshindi dhidi ya Azam FC kwa mikwaju ya penalti 5–4, kufuatia sare ya bila kufungana (0-0) katika muda wa kawaida na nyongeza wa mchezo wa fainali. Mchezo huo uliopigwa kwa ushindani mkubwa ulimalizika kwa matokeo ya 0-0 ndani ya dakika 90, […] The post Yanga Yatwaa Taji la Mapinduzi Cup kwa Penalti Dhidi ya Azam FC appeared first on Global Publishers .