Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) leo imeshiriki katika maonyesho maalum yaliyoandaliwa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi (NBAA) kwa ajili ya kuadhimisha Siku ya Wataalamu wa Uhasibu. Maonyesho hayo yamefanyika katika viwanja vya jengo la Mhasibu Posta, jijini Dar es Salaam. Ushiriki wa TEA katika maonyesho hayo ni sehemu ya jitihada za […] The post TEA YASHIRIKI SIKU MAALUM YA WATAALAMU WA UHASIBU appeared first on Jambo TV Online .