Rais Samia Awaapisha Mawaziri na Viongozi Mbalimbali Leo Ikulu Chamwino – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 13 Januari, 2026, amewaapisha mawaziri na viongozi mbalimbali wa Serikali katika hafla rasmi iliyofanyika Ikulu ya Chamwino, mkoani Dodoma. Hafla hiyo ilihudhuriwa na viongozi wakuu wa Serikali, wakiwemo mawaziri, makatibu wakuu pamoja na viongozi wa taasisi za umma, ambapo Rais Samia aliwakumbusha […] The post Rais Samia Awaapisha Mawaziri na Viongozi Mbalimbali Leo Ikulu Chamwino – Video appeared first on Global Publishers .