Tathmini yaibua matumaini mapya gesi asilia

DAR ES SALAAM: Tathmini ya data za mitetemo za 3D zilizochukuliwa katika Kitalu cha Utafutaji wa Mafuta na Gesi Asilia cha Ruvuma kilichopo mkoani Mtwara imeonesha uwezekano wa uwepo wa futi za Ujazo trilioni 3.45 za gesi asilia tofauti na Futi za Ujazo Trilioni 1.87 zilizoripotiwa awali. Meneja mkuu wa kampuni ya ARA Petroluem Tanzania … The post Tathmini yaibua matumaini mapya gesi asilia first appeared on HabariLeo .