Licha ya kwamba mwanamitandao maarufu Dotto Magari anayefanya vizuri kwenye mitandao ya Kijamiii ameonekana mwenye kuendeleza mbwebwe zake na hii inatokea kila anapo pata farsa mpya Aidha Dotto ameendelea kuweka wazi swala hilo la kukubalika zaidi kwenye jamii kutokana na mbwembwe zake mitandaoni Dotto amezungumza hayo wakati anapewa dili kutoka Ab Finish Limited