Manowari ya nyuklia ya Marekani si chombo cha kawaida cha baharini. Mbali na kuwa makazi ya muda mrefu kwa wanajeshi, pia ni ngome ya kijeshi inayoelea chini ya bahari, ikiwa imebeba silaha za kisasa zinazoiweka katika kundi la vyombo hatari zaidi duniani. Thamani yake ya hadi dola bilioni 4 inaakisi teknolojia, ulinzi na nguvu […] The post Fahamu Maisha Ya Manowari Ya Nyuklia Ya Marekani Na Silaha Nzito Inazobeba – Video appeared first on Global Publishers .