Klabu ya Manchester United imefikia makubaliano ya mdomo na Michael Carrick kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Kocha Mkuu wa muda hadi mwisho wa msimu. Makubaliano hayo yanakuja kufuatia mabadiliko ya benchi la ufundi katika klabu hiyo yenye maskani yake Old Trafford. Kwa mujibu wa taarifa zilizothibitishwa, Carrick ambaye ni mchezaji wa zamani wa Manchester […] The post Man United Yakubaliana na Michael Carrick Kuwa Kocha Mkuu wa Muda appeared first on Global Publishers .