Matatizo ya Afya Yanayosababishwa na Maji Kupita Kiasi Mwilini

Maji ni muhimu sana kwa afya ya binadamu, lakini kama mwili ukiwa na maji mengi kuliko inavyohitajika, hali hii inaweza kusababisha matatizo makubwa kiafya. Hapa tunazungumzia hasara kuu zinazoweza kutokea kutokana na kuchukua au kushikilia maji mengi mwilini. 1. Kuongeza Uzito wa Mwili Kushikilia maji mwilini, hali inayojulikana kama water retention, inaweza kuonekana haraka kwa […] The post Matatizo ya Afya Yanayosababishwa na Maji Kupita Kiasi Mwilini appeared first on Global Publishers .