WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda (Pichani) amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa wizara hiyo, Profesa Palamagamba Kabudi na kutaka watendaji wote wa wizara hiyo kuhakikisha wanakaa kwenye viti vyao na kuenea. Alieleza hayo jijini Dodoma baada ya kuapishwa na kueleza kuwa hana tabia ya kumchekea mtu wakati moyoni mwake amechukia … The post Makonda aanza kazi, ataka watendaji wizara wajipime first appeared on HabariLeo .