RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi aliowateua hivi karibuni wakiwemo mawaziri na naibu mawaziri wakatekeleze kwa wakati ahadi zilizotolewa kwa wananchi wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu. Alitoa maelekezo hayo wakati akiwaapisha viongozi hao aliowateua hivi karibuni wakiwemo mawazi, naibu mawaziri, katibu mkuu na mabalozi katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma. “Nawapongeza kwa uteuzi na … The post Samia aagiza viongozi watekeleze ahadi za kampeni first appeared on HabariLeo .