Suala la wazazi kulazimishwa kununua sare za wanafunzi shuleni ni kaa la moto linalowakumba wazazi hasa msimu huu wanafunzi wa gredi 10 wanajiunga na shule za upili. Shule za eneo lenu mnakumbana nalo?
#GidiNaGhostAsubuhi #KituoChaWakenya